ladybutterfly
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 215
- 59
hakuna majeruhi ina maana wote wamekufa au wote wazima? funguka vzuri.
Kumetokea ajali maeneo ya Ruvu na basi mawili yamegongana Super Feo limegonga kwa Nyuma Mtei Express hakuna majeruhi
Hadi matuta yanayo haribu barabara na MAGARI yatakapo ondolewa na Sheria za Usalama zitakapo zingatiwa na kusimamia na kila muhuska ndo hizi ajali zembe zitaondoka
Hawa Superfeo kazi ya kukimbia tu utadhani wamepakia magunia ya viazi. Ashukuriwe Mungu hakuna majeruhi