Ajali ya basi Ruvu

Ajali ya basi Ruvu

kirang'enta

Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
35
Reaction score
23
Kumetokea ajali maeneo ya Ruvu na basi mawili yamegongana Super Feo limegonga kwa Nyuma Mtei Express hakuna majeruhi
 
ImageUploadedByJamiiForums1388817203.546269.jpg ImageUploadedByJamiiForums1388817203.546269.jpg
 
Inatakiwa tushukuru kwa sababu hamna aliyekufa wala kujeruhiwa
 
Mungu ni mwema, tushukuru kwa vile hakuna roho ya mtu iliyopotea na hakuna mwili wa mtu uliojeruhiwa kiasi cha kutokuwa reparable. Hizo bodi za magari kama zimeharika ni ulaji kwa vijana wetu waliopo garage, zitanyoshwa tu.
 
Super Feo whats wrong with you???
 
Na hiyo ni mchana kweupe,madereva wetu nidhamu yao ni mashaka matupu.
 
Nimependa hako ka ujumbe hapo nyuma "A MAN WHO STANDS FOR NOTHING WILL FALL FOR ANYTHING".
Anania Napiya do believe in this principle.
 
Overtake za kijingajinga bila shaka...madereva wa mabasi wanatabia ya kusogelea gari kwa karibu ndo walipite
 
Nimependa hako ka ujumbe hapo nyuma "A MAN WHO STANDS FOR NOTHING WILL FALL FOR ANYTHING".
Anania Napiya do believe in this principle.















Ujumbe nyuma ya basi sijui hiyo Super Feo
Dereva hakuusoma vema
poleni sana
 
Mungu mkubwa sana malaika wake wamepigana sana msidhan hamna aliyekufa ni kawaida pale ruvu kuna maajabu sana ila kwa maombi shetan ushindwa kutimiza malengo yake,thanks jesus for your mercy on your pple glory to u.amen
 
hizi s.Feo mbio sana na kujidai mahodari wa ku-overtake bila tahadhari yoyote. usikute dereva alichungulia akaona kuna gari inakuja mbele, anaposema arudi kwenye line yake anakwenda kumbamiza mwenzake
 
Basi liliogongwa kwa nyuma, dereva/mmliki atakuwa anafurahia tu!
 
Hadi matuta yanayo haribu barabara na MAGARI yatakapo ondolewa na Sheria za Usalama zitakapo zingatiwa na kusimamia na kila muhuska ndo hizi ajali zembe zitaondoka
 
Back
Top Bottom