slowpancha
Senior Member
- Jul 27, 2014
- 184
- 102
Kuna ajali imetokea jana kiluvya nafikiri, basi la kampuni ya safari limegonga nyuma ya roli, lakini ajabu ni kuwa dereva wa roli kawekwa mahabusu wakati dereva wa basi akiachiliwa.
Mpaka trafick wengine wa kituo cha Kibaha wakishangazwa na uamuzi wa mkuu wa kituo.
Niko na Picha za tukio hilo najaribu kuziweka tushee mawazo au ujuzi wa kisheria, na ajabu sehemu iliyotokea ajali Kuna kibao cha 50