Ajali ya basi la mwendokasi

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,053
24,446
Kuna ajali imetokea muda huu kati ya basi la mwendokasi limegongwa na gari dogo! Hakuna majeruhi
 
Kuna ajali imetokea muda huu kati ya basi la mwendokasi limegongana na gari dogo! Haukuna majeruhi
Wapi hiyo mkuu maana sisi ni wadauwa hiyo kitu na jinsi ilivyo yaweza kuchelewesha watu wakati huu tunapotoka maofisini
 
Si wanakimbia kama vichaa bila kuchukua tahadhari, acha wayakongoroe tu maana ni makusudi.
 
Hii ajali ni matojeo ya kutokuheshimu alama za barabarani, kiburi, kujiamini kupita kiasi pamoja na kutokujihami!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…