Kazi ya ccm hiyo sio ya Mungu.kazi ya Mungu haina makosa
Mbona kuna kituo cha polisi humo humo terminal, au wanaingia 'kuongeza nguvu'?... Polisi ndiyo wanaingia sasa hivi
kazi ya Mungu haina makosa
Leo asubuhi kumetokea ajali ubungo terminal ndani ukuta umeangukia magari yaliyokuwa parking. Bado haijafahamika magari mangapi yamehusika na ajali na kama Kuna watu wamejeruhiwa vibaya au kifo. Polisi ndiyo wanaingia sasa hivi
kazi ya Mungu haina makosa
Zaidi ya magari 20 yameangukiwa na ukuta huo, source: ITV BREAKING NEWS.
magari yalikuwa na abiria.........