Ajali- Ubungo mataa

Ajali- Ubungo mataa

kunguni wa ulaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
4,131
Reaction score
6,125
Kuna Lori limepinduka na kuziba njia inayotoka na kwenda buguruni.
Naona zinazotoka buguruni zimeanza kupita!foleni ni ndefu.kama unajua njia mbadala pita maana hapa mataa hakufai.
 
haijalalia gari kweli? maana haya madude nayo kaaah
 
Halafu ukifika hapo ni lazima ulewe hiyo harufu yake_itakua ni la tbl.

Anyway..chagua Lowassa kwa elimu zaidi.
 
Naaikia Nape nae Kapinduka na gari kama kawaida Makamba amesema yupo salama anaendelea na shughuli za kampeni inabidi tusikilizie tu mmh??!
 
Afu hii midude inaangukaga sehemu ambazo ni very nyeti

naona jamaa kashindwa kukata kona yaani vijana hawajielewi wameshaiba mpaka gunia la mkaa .
wanatamani kuvunja contena,nasikia lina maji machafu.
 
Back
Top Bottom