Ajali tena

Ajali tena

godfrey kombe

Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
10
Reaction score
0
Gari kampuni ya shambalai imepoteza mwelekeo na kutumbukia mtoni alie na habari kamili atujuze jamani
 
Heeeee,lingine tena jamani,asubuhi handeni,duuuu

0wanzoni nimejifariji kwamba ni uongo lakini naona ni thread ya tatu hii inaongelea ajali ya Shambalai. hakika ni janga! Ee Mungu tenda Muujiza.
 
Back
Top Bottom