Ajali tena

kiwatengu

Platinum Member
Apr 6, 2012
17,683
14,869
Habari za kusikitisha! jana jioni kuna ajali ya gari lililokuwa limewabeba wapiga tarumbeta wa usharika wa hai boma ng'ombe na kuua mtu mmoja na kuwaacha wengine majeruhi. Ajali imetokea eneo la msongoro..walikuwa wametoka harusin..mungu awape nguvu!
 
Walikuwa wametoka harusini..aliyepoteza maisha anajulikana kama mama kimaro! wa gezaulole. Hai mjini.
 
Habari za kusikitisha..majeruhi mwingine wa ajali hiyo amefariki na kufanya idadi ya walifariki kufikia wawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…