kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 17,647
- 14,793
Habari za kusikitisha! jana jioni kuna ajali ya gari lililokuwa limewabeba wapiga tarumbeta wa usharika wa hai boma ng'ombe na kuua mtu mmoja na kuwaacha wengine majeruhi. Ajali imetokea eneo la msongoro..walikuwa wametoka harusin..mungu awape nguvu!