nchi hiii bwana, yaani kila kitu bora liende, nashangaa yakianza majigambo ya vyuo, eti udsm wanatoka kifua mbele kuwa wanaongoza kutoa watu wenye madaraka mmakubwa serikalini, mmadaraka makubwa with no meaning ......mchumi gani huyu hawezi even kuona oppotunity costs?, mambo ya kipumbavu yanaendelea yeye yupo japan, hapo kijitonyama mtu ametumbukia kisimani, inawezekanaa asipate taarifa au anajuaa kilichofanyika lkn atkaa kinya kama babu na wajukuul azi ipo hiki kipindi kilichobaki, tunalo watz!