Ajali Tabata relini, foleni kali toka Buguruni

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,063
40,724
Nimepita hapo na kukuta civilian na DCM zimeminyana kwa mbele na kufunga barabara ya kutokea buguruni kwenda Tabata. Ila si vibaya tukapata taarifa zaidi.
 
Matumbi ndiyo maana anaona sana aja
Jamaa anakaa pale Matumbi ndiyo maana anaona sana ajali za barabara ile.

Matumbi pale juu juu nini au da don yupo kwenye kile kibanda cha sign arts. Ha ha ha Da don nabidi niku nikutafute manake sijawahi onana na member offline.
 
Nimepita hapo na kukuta civilian na DCM zimeminyana kwa mbele na kufunga barabara ya kutokea buguruni kwenda Tabata. Ila si vibaya tukapata taarifa zaidi.
Francis da Don kwa Mwezi huu ume report matukio kadhaa
1 bodaboda aliyefariki pale relini
2 kuna ile ya container lilifyatuka pale pale relini
Na nyinginezo
Salute kwako kama vipi njoo weekend ijayo tuonane km unaishi mitaa hio me jiran yako niko hapa aroma
Na hii ni kwa hisan ya upendo tu
 
Ubinadamu kazi Francis DA don yeye anawapa taarifa nyie mnalalama!au mpaka habari muambiwe na clouds au redio one

Ovaaa
 
Back
Top Bottom