Ajali Round About ya Mission Mbagala

Ajali Round About ya Mission Mbagala

kunguni wa ulaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
4,131
Reaction score
6,125
Kuna lori limepinduka mida hii hapa njia panda ya Kijichi.Inasadikiwa limebeba nguo nipo kwenye daladala naona raia wanakimbia kwenda kwenye eneo la tukio na wengine wanatoka wakiwa wameiba nguo na kukimbia.

Sina taarifa ya majeruhi wala vifo,barabara ya kutoka rangi 3 imeziba.
 
Foleni ipoje..??!
 
Tupia japo kapicha ka hao wanaoiba vinguo vya watu
 
Foleni ipoje..??!
Mkuu niliuliza swali kule Tech kuhusu Motion detector switching yani kiaje hizi motion semsor zina switch circuit baada ya kudetect mtu kapita mahali, bei zipoje kwa sensors let say na taa ambayo ita detect movement na kuwaka mtu akipita inazima , nilikutag but naona hukujibu
 
Poleni sana.

Mtatujuza kwa taarifa zaidi
 
Mkuu niliuliza swali kule Tech kuhusu Motion detector switching yani kiaje hizi motion semsor zina switch circuit baada ya kudetect mtu kapita mahali, bei zipoje kwa sensors let say na taa ambayo ita detect movement na kuwaka mtu akipita inazima , nilikutag but naona hukujibu

zilongwa mbali, zitendwa mbali - asante jk!
 
Jana ilikuwa kipati Leo mission, bora nimewahi kutoka town.
 
Mbagala.kichefuchefu foleni daily likitokea la kutokea ndokabisa.
 
Back
Top Bottom