"KICHWA CHA HABARI"
Basi la Rahaleo nimedumbukia mto Wami.
Hapa hii imekaaje mtoa mada,kwamba ni wewe ndio umedumbukia mto Wami na unapenda hii taarifa iwafikie Rahaleo?
Au ni matatzo tu ya kiuandishi?
Hizi taarifa siyo za kweli hamna gari ya raha leo iliyopinduka wami..m:uu ni uzushi kubwa
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
True hata mimi nilisoma humu jf juzi tu. Au shetani alikuwa anapanga hayahili basi si kuna lingine juzi juzi hapa liliripotiwa kutumbukia mto huo huo..........?....au naota jamani....?
Hizi taarifa siyo za kweli hamna gari ya raha leo iliyopinduka wami..m:uu ni uzushi kubwa
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
wakuu somen vizuri kichwa cha habari.kasema yeye ndio amedumbukia mtoto wami
Unamuwahisha mgonjwa wewe ndio dereva au?
na kama wewe ndio dereva umewezaje kupost thread?
au ulisimamisha gari?
Na kama ulisimamisha gari kwanini hukutoa msaada au kuchukua habari kwa kina ili utujuze kinagaubaga?
Na kama umepost wakati unaendesha gari ukipata ajali utamlaumu nani?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Jamani mbona mimi nimepita hapa wami mara kadhaa juzi, leo sijaliona hilo basi na wala hakuna dalili yoyote ya basi kutumbukia? Mind you huu mto una kingo pembeni hivyo kila mara inapotokea bahati mbaya gari limetumbukia unaona kingo zimekatika....sioni dalili hiyo kiukweli.
Mkuu,sikufanya matendo hatarishi namna hiyo,sikuwa naendesha mimi.
Ni matatizo ya uandishi boss."KICHWA CHA HABARI"
Basi la Rahaleo nimedumbukia mto Wami.
Hapa hii imekaaje mtoa mada,kwamba ni wewe ndio umedumbukia mto Wami na unapenda hii taarifa iwafikie Rahaleo?
Au ni matatzo tu ya kiuandishi?
Wamepita saa ngapi? Mi nimepita saa nne usiku.Mkuu mbona wengine wanasema walipita Wami na hawakuona hiyo ajali?
Tukiwa tunapata wazushi kama hawa 5 tu Tanzania itakuwa balaa.
Mtu anakurupuka tu na kutoa uzushi. Daaaah
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
chance ya kupona ni ndogo sana, ata kama unajua kuogelea, hao mamba kuwakwepa sio rahisi nawa sense ya khali ya juu wakiona tu kitoweo wanafika kwa haraka sana.Dah.......hivi ukitumbukia huko mto Wami.....ni mbinu gani za kujiokoa ukipata hiyo nafasi.......,?
Madereva wa sasa ni viroba kichwani bonge la njia iweje aingie mtoni? Dereva kalewa gongo haa sawa hyo?
hili basi si kuna lingine juzi juzi hapa liliripotiwa kutumbukia mto huo huo..........?....au naota jamani....?
Dah.......hivi ukitumbukia huko mto Wami.....ni mbinu gani za kujiokoa ukipata hiyo nafasi.......,?