Ajali Pwani Ruvu: Barabara ya Morogoro imefungwa Mlandizi, haipitiki

Manosa

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
4,510
3,589
Kwa tunao tumia barabara ya Morogoro-Chalinze Dar mziki ni mnene

Kuna ajali daraja la Ruvu

Tanker ya mafuta imegongana na fuso..zimamoto wamewahi

Wazee wa betri hawakuwepo

Kuna bonge pin!!!!!!
Leo moro saa 12 jioni

Habari ndugu zangu kwa anaetaka kutoka mda huu kwenda mikoani ni bora wakapitia njia ya bagamoyo

Kwa maana barabara ya Morogoro road kuanzia Mlandizi magari yamekwama na hakupitiki tangu saa moja asubuhi,hii na hakuna dalili ya kuondoka kwa muda huu

Chanzo inasemekana kuna ajari maeneo ya Ruvu View attachment 1181793
1565851346492.png
 
Kwani kwenye hiyo ajali mnakimbizwa kwamba unashindwa kuleta habari inayoeleweka? Au na ww umeambiwa na mtu ukaona ulete huku?
 
Back
Top Bottom