Watu 3 wafa, 40 wajeruhiwa baada ya Fuso waliyopanda ikitokea mnada Dutwa kugonga nyumbu na kupinduka usiku huu. Majeruhi wakimbizwa BDDH Hosp.chanzo:Mwananchi
Gazeti la usiku huu yanapatikana wapi mkuu?
Chanzo gazeti MWANANCHI..!!!!!! au ulitaka kusema "CHANZO NI MIMI MWANANCHI" ??
Chanzo gazeti MWANANCHI..!!!!!! au ulitaka kusema "CHANZO NI MIMI MWANANCHI" ??
Gazeti la usiku huu yanapatikana wapi mkuu?