mwanafyale
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 1,641
- 539
Nadhani ni ile inayotoka MUSOMA-DAR ndio huwa inapita mida hii Morogoro!basi linatoka wapi linakwenda wapi? ajali imetokea saa ngapi?
mkuu, mohamed trans ya kutoka mkoa gani?
ilikuwa ikitoka dar kwenda kuishia dodoma, alikuwemo jamaa yangu umo, ila katoka salama
Waliokufa hapo hapo watu 5 na majeruhi ni wengi sana karibu basi zima.
Walioko eneo la tukio watuarifu wana jamvi
Hili basi huwa linatoka dodoma saa kumi na mbili asubuhi linafika dar saa 6 au 7 na saa nane na nusu linageuza to dodoma nadhani ndio hili maana si linatembea ni linapaa huo mwendo wake.....Jana Kibamba kulikuwa na foleni jioni kuna Mohemed Trans ilipita upande wa pili wa Barabara kwa Mwendo wa kasi kila mtu akishangaa km ndio hyo iliyopata ajali bc dereva alianza fujo Mapema
Mabus yanakimbia haya balaa
Nasikia kati ya hao watano, kuna Mhadhiri wa UDOM.
Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi. Amina.
Mabasi mengine si ya kupanda ni full ushirikina wa Kutoana damu si waende benki ya damu waanyweeeee