Mchawi aanguka leo maeneo ya Banana , Dar es salaam ======= Wasalaam! Uchawi kumbe upo asee, na kuruka kwa ungo kumbe it's true kabisa. Katika hali yakushangaza Leo wakazi na wapita njia wameshuhudia mchawi akianguka live katikati ya barabara. Haijajulikana ametokea na anaelekea wapi ila...