Ajali njia panda ya Mabibo

Ajali njia panda ya Mabibo

Rogie

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
7,600
Reaction score
6,721
Kuna ajali imetokea muda huu njia panda ya Mabibo ikihusisha gari aina ya Toyota Land Cruiser kumgonga mpita njia.

Jinsi Ilivyokuwa
Nimetokea zangu Sinza nikielekea Mabibo, baada ya kupita Shekilango na kuvuka bumps la kwanza maeneo ya Big Brother hiyo gari ilifunga breki za ghafla sana nyuma yangu, dereva akaamia upande wa pili akifuatiwa na pikipiki (boda boda) nyingi sana zikimfukuza coz nilikuwa nimefunga vioo sikuelewa nini wanaongea. Mara ghafla kukatokea foleni hapo njia panda, niliposhusha kioo nikaona kuna gari inatoa moshi mbele hivyo kufanya gari zilizokuwa nyuma yake kuhepa kwa pembeni nami nikahepa, kufika mbele ya hiyo gari nakuta zile pikipiki na madereva boda boda wakisema dereva wa gari alipotoka amegonga mtu, kuangalia vizuri hapo kwenye njia panda pia kamgonga mtu mwingine ambaye inasadikiwa amefariki.
Sikuweza kupata picha nzuri zaidi nilihofia kuweka Flash On kwa maana vijana wa boda boda walikuwa na hasira wakivunja vioo vya hiyo gari mikahofia usalama wangu.

Aliyegongwa hapo njia panda ni mwanaume umri wa makamo . Dah kwa mara ya kwanza nashuhudia pumzi ya binadamu inakatizwa ndani ya sekunde. ImageUploadedByJamiiForums1430423039.854841.jpg
 
Pole~ kwa walio fikiwa na majanga,, sirikali iangalie kuhusu kuwapa mikopo hawa watu na kununua magari ya kutunaliza sis watembea kwa miguu
 
Siku hizi kila mtu ni dereva bongo, hata magari nayo yanajiendesha tu
 
Magari ya mikopo yanatuchoxha duu! Ongezen mashart ya mikopo~ magari hayajui njia panda wanapita kama mixhale tu unashangaa breki zinazimwa miguuni mwako alafu kwa jeur anakutukana kwa kidole
 
Pole~ kwa walio fikiwa na majanga,, sirikali iangalie kuhusu kuwapa mikopo hawa watu na kununua magari ya kutunaliza sis watembea kwa miguu

Magari ya mikopo yanatuchoxha duu! Ongezen mashart ya mikopo~ magari hayajui njia panda wanapita kama mixhale tu unashangaa breki zinazimwa miguuni mwako alafu kwa jeur anakutukana kwa kidole

Hahahahhaa na wewe kakope mkuu iwe ngoma droo.
Hivi hivi haitosaidia.
 
Magari ya mikopo yanatuchoxha duu! Ongezen mashart ya mikopo~ magari hayajui njia panda wanapita kama mixhale tu unashangaa breki zinazimwa miguuni mwako alafu kwa jeur anakutukana kwa kidole

Hizi x kwenye h ndivyo ulivyofundishwa na mwalimu wako au umeamua kutupa kuchefuchefu wengine.
 
Kuna ajali imetokea muda huu njia panda ya Mabibo ikihusisha gari aina ya Toyota Land Cruiser kumgonga mpita njia.

Jinsi Ilivyokuwa
Nimetokea zangu Sinza nikielekea Mabibo, baada ya kupita Shekilango na kuvuka bumps la kwanza maeneo ya Big Brother hiyo gari ilifunga breki za ghafla sana nyuma yangu, dereva akaamia upande wa pili akifuatiwa na pikipiki (boda boda) nyingi sana zikimfukuza coz nilikuwa nimefunga vioo sikuelewa nini wanaongea. Mara ghafla kukatokea foleni hapo njia panda, niliposhusha kioo nikaona kuna gari inatoa moshi mbele hivyo kufanya gari zilizokuwa nyuma yake kuhepa kwa pembeni nami nikahepa, kufika mbele ya hiyo gari nakuta zile pikipiki na madereva boda boda wakisema dereva wa gari alipotoka amegonga mtu, kuangalia vizuri hapo kwenye njia panda pia kamgonga mtu mwingine ambaye inasadikiwa amefariki.
Sikuweza kupata picha nzuri zaidi nilihofia kuweka Flash On kwa maana vijana wa boda boda walikuwa na hasira wakivunja vioo vya hiyo gari mikahofia usalama wangu.

Aliyegongwa hapo njia panda ni mwanaume umri wa makamo . Dah kwa mara ya kwanza nashuhudia pumzi ya binadamu inakatizwa ndani ya sekunde. View attachment 248210

rip mzururaji wa miguu..
 
Mia mia vp wew umeshatoka?? .. Nimechoka lift za watu mpaka saiv wamebadili kaul mara '"wee futa miguu

Hahahahaa wewe jamaa unanichekesha sana.Hapa ni habari ya huzuni lakini nacheka!
 
Back
Top Bottom