duuh! Kweli mungu kasaidia na 2shukuru sana km hakuna aliyefariki na 2nawapa pole majeruh wote hakika wote watapona. Pia 2nashukuru kwa newz @ jamii forum
Poleni sana majeruhi mungu awajalie mpone haraka. Pia tumekuta ajali nyingine ya Airbus ya Tanga - Arusha, ajali imetokea kati ya Same na Njia panda ya himo. Imekuwa siku ya ajali leo.
Siku yakikukuta utajua kama gari huwa linaumia kidogo au sana. Kama huna la kuchangia ni bora kukaa kimya, hayo maneno ungeacha ayaseme huyo mwenye gari kuliko kumuwekea maneno mdomoni. Sijui kama ungekua ni mmoja wa hao abiria na ukawa umepata majeraha kama ungeongea hayo? Usichukulie kua hakuna aliyefariki kwako ikawa ni sehemu ya jokes, kumbuka hata aliyevunjika miguu au mikono na kupata kilema cha maisha anaitwa ni majeruhi. Think great.