Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Taarifa zilizofika dawati la mwanahabari huru zinasema
Air excel imeanguka Sasakwa watu wote on board wametoka salama. Pilots ndio wameumia kidogo
HABARI ZAIDI NA PIC ZITAFUATA HIVI PUNDE
Mwanahabari Huru
Air excel imeanguka Sasakwa watu wote on board wametoka salama. Pilots ndio wameumia kidogo
HABARI ZAIDI NA PIC ZITAFUATA HIVI PUNDE
Mwanahabari Huru
View attachment 454121
Mkuu Jambazi hii ndege mbona ilianguka toka juzi 02/01/2017,ilidondoka huko Grumeti kwenye Airstrip ya Sasakwa.
Ilikuwa na abiria 05 na rubani 01...baada ya "crush" ndege iliwaka moto na kuteketea.Hakuna aliyekufa zaidi ya rubani kuwa na majeraha na abiria aliyekuwa seat ya mbele.Majeruhi waliokolewa na AMREF Flying Doctors.
Hii ni ndege aina ya Reims Cessna F406 Caravan II (F406) ,yenye usajili wa 5H-WOW,mali ya Kampuni ya Mgiriki fulani anakaa Arusha anaitwa Max(?).Huku Sasakwa ndio kwenye scandal ya hayati Faru John.
Sababu za ajali ni mpaka wathibitishe watu wa TCAA baada ya ukaguzi,lakini inasemwa ni injini moja kupata itilafu na kuungua,wakati wengine wanasema ufupi wa "runway" ya Sasakwa ndio ililetelezea ndege kupata majanga kwa kushindwa ku-take off baada ya kumaliza runway.
Tusubiri report ya TCAA....Hapo ni wakati ndege hiyo ikiwa nzima.