AJALI: Moto mkubwa wateketeza kantini ya chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Dar

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,411
Habari wanaJF,

Moto umeteketeza jengo katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwl Nyerer- Kigamboni, jijini Dar es Salaam.

Mpaka sasa chanzo na hasara hivijajulikana. Zimamoto wapo eneo la tukio wakiendelea na jitihada za kuzimo moto huo.

Ck1IMhaWEAAx25C.jpg
 
Iliyoungua ni jengo la canteen pekee,chanzo cha moto ni uchomaji wa taka pembeni na ilipo canteen! Hasara ni kubwa ikiwepo kuungua kwa vyombo vya chakula,hasara ya usumbufu kwa wanachuo na mambo mengine kibao. Mpaka sasa hakujatokea maafa ya vifo.
 
Back
Top Bottom