Ajali Morogoro-leo 11.11.2011

Kubingwa

JF-Expert Member
Apr 23, 2010
505
69
Ajali imetokea eneo la Makunganya,Morogoro lilkilihusisha basi la MASTER CITY lilikuwa likitokea Dar kuelekea Mwanza.Ajali hiyo ilitokea baada ya basi kugonga lori na inasadikika ilitokea kutokana na mwendo kasi wa dereva.Kondakta amefariki papo hapo.
Poleni sana wafiwa na mliojeruhiwa!
 
Du tulianza kusahau tena imerudi, mimi nilijua matambiko ya kikao cha bunge ambacho kimeanza kumbe bado? RIP
 
ajali imetokea eneo la makunganya,morogoro lilkilihusisha basi la master city lilikuwa likitokea dar kuelekea mwanza.ajali hiyo ilitokea baada ya basi kugonga lori na inasadikika ilitokea kitokana na mwendo kasi wa dereva.kondakta amefariki papo hapo.
Poleni sana wafiwa na mliojeruhiwa!

hivi huwa kuna nini kila kukikaribia mwisho wa mwaka! Poleni sana wafiwa!
 
wageni wanatembelea Dar, Arusha na Zanzibar
Ajali za mabasi zipo Morogoro ,Meya na Dodoma
ajali za moto dar mbeya
wananchi wasioitwa raia, Kigoma ,kagera.
wahujumu nchi Mara, kilimanjaro,shinyanga na tanga
 
Back
Top Bottom