Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,463
Nipo hapa Mkula. Kuna vijana wawili, Byabato Kilama na Haji Mwasi wa kampuni ya zuku wamepata ajali mbaya. Gari la la Rav4 halitamaniki. Byabato nimemfikisha Mkula Hospital. Kaumia kichwani na sehemu nyingine za mwili.
Natumaini utakuwa umetaarifu ndugu zao kwanza kabla ya kurusha humu as umewajua na majina. Wape pole
Manyerere please tupe taarifa vizuri,hali zao zikoje Manyerere Jackton
Nipo hapa Mkula. Kuna vijana wawili, Byabato Kilama na Haji Mwasi wa kampuni ya zuku wamepata ajali mbaya. Gari la la Rav4 halitamaniki. Byabato nimemfikisha Mkula Hospital. Kaumia kichwani na sehemu nyingine za mwili.
Pia kurusha huku jf inasaidia zaidi kwa sababu message itawafikia ndugu jamaa marafiki na majirani kwa urahisi zaidi