AJALI: Mkoani Mwanza watu 5 wafariki Dunia

AJALI: Mkoani Mwanza watu 5 wafariki Dunia

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,623
Reaction score
8,426
Screenshot from 2016-06-28 15:01:46.png


Habari wanaJF,

Jijini Mwanza basi la Super Sami limepata ajali iliyotekea huko Mwanza majeruhi ni 15 na waliofariki ni watano wanawake wawili na wanaume watatu na chanzo ni busi kugonga mawe yaliyowekwa na majambazi karibu na daraja hivyo ndipo ilipelekea kupata ajali na kusababisha hayo maafa ya watu watano kupoteza maisha na majeruhi kumi na tano

Hii ndio taarifa kamili toka kwa RTO Mwanza



 
Poleni wafiwa na wote mlioguswa na tukio hili.
 
ndo ilikua inaenda dar au kuja Mwanza?iligonga mawe KVP?iliacha njia au?
 
Rest in Peace marehemu wote. Nawaombea uponyaji majeruhi
 
Polisi wetu ni baada ya tukio ndio wanafanya kazi badala ya kuzuia tukio.
 
Mwanza maeneo gani? saa ngapi? Basi lilikuwa linasafiri kuelekea wapi? Mwenye majibu tafadhali anijibu.
 
Watetezi wa majambazi watakuja kuwapongeza hao waliotega mawe.
 
Ni kweli basi limepitishwa hapa mabatini linavutwa limeharibika zaidi upande wa mbele kushoto kurudi nyuma
 
Una maana baada bus kuparamia mawe mnayodai yaliwekwa na majambazi, hao majambalika walijitokeza kutekeleza ujambazi wao?
 
Nahis waliweka wakayatumia then wakasepa, intelijensia ya polis ipo wap?
 
Back
Top Bottom