Mohamed Mbelwa
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 507
- 272
Ni hapo daraja la treni mkuu? ni aina gani ya magari?
Na wewe nikishakujibu, what's nextUkisha jua aina ya magari then what next??
Na wewe nikishakujibu, what's next
Leseni mpya haisaidii kupunguza ajali
Hii inakusaidia kama una-ka research kako binafsi una fanya kuweza kujua ni aina gani ya magari yanakuwa na ajli za mara kwa mara ili uwe na choice nzuri ya gari za kununua,hii hasa ni nzuri ukizingatia katika nchi kama yetu hakuna authority yoyote ina muda wa kufuatilia ni aina gani ya gari zina ajali za mara kwa mara ili ziweze kufanyiwa uchunguzi na ikiwezekana kuwaonya wananchi wasinunue au kutumia aina hizo za magari au ku-ban yasiingizwe kabisa nchini.Ukisha jua aina ya magari then what next??
Haya wewe kazana kuwaombea hao marehemu wanaoenda kulala huko kwema peponi...Tuwaombee marehemu wote walale mahala pema peponi,ameni!!
Ndani ya siku 2 tayari watu takriban kumi wanakufa kwa ajali za barabaran juzi usiku maseyi
Ni hapo daraja la treni mkuu? ni aina gani ya magari?