AJALI MBEYA: Basi la Ndenjela lagongana na Daladala

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Watu wawili wamefariki, kumi wajeruhiwa leo huko Uyole baada ya basi la Ndenjela kuigonga Hiace.

Afisa Uuguzi Hospitali ya Rufaa Mbeya amethibitisha.
 
picha tafadhali, ila pole kwa wote waliofikwa na balaa hilo.
 
Back
Top Bottom