Ajali mbaya yaua 11 Mbeya

Duh!? It is too Much!
Roho za marehemu zipate rehema kwa Mungu, watumzike kwa aman. Amen. Poleni sana majeruhi.
 
Rip all the deadmans, n get well soon the injured passangers. Ile sehemu ni mbaya xana.
 
Traffick wa ukweli na wasiopokea rushwa east africa wako Rwanda tu! kwingine kote rushwa mstari wa mbele!


kweli mkuu, rwanda sijafika ila kenya, uganda na tanzania....hatari tupu. wakiongozwa na wakenya wanaodai rushwa kwa nguvu......
 
dah! Mungu awaponye majeruhi,lakini pia Mungu apumzishe marehemu mahali pema amin!
 
Poleni kwa msiba ndugu zanguni wa Mbeya. Mungu aepushe hizi ajali za kila siku jamani. Tutaendelea kuwapoteza ndugu zetu kila siku hadi lini? Maana nyingi unakuta ni uzembe wa madereva wote au mmoja wao.
 
Duh!poleni wafiwa,sijui ndo mwendelezo wa ile laana ya kuiba hadi sanda ya maiti katika ile ajali ya msafara wa mazishi uliokuwa ukielekea sumbawanga?!.
 
Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi na awape nguvu na faraja wafiwa katika kipindi hiki kigumu kwao~AMEN.
 
Back
Top Bottom