Basi aina ya Coaster lililo kuwa linatokea Mbeya kuelekea Kyela Muda mfupi baada ya Ajali kutokea Gari la Mizigo ambalo limehusika na ajali hiyo likiwa pembeni muda mchache baada ya ajali hiyo kutokea
RIP Marehemu wote na Mwenyezi Mungu awaongoze Majeruhi wapone haraka..ila inasikitisha sana..untill when these road fatalities will claim our people's life??
marehemu wapumzike kwa amani na majeruhi wapone haraka warejee kwenye ujenzi wa taifa! Jamani hizi ajali zitatumaliza! Traffic fanyeni kazi zenu! kagueni leseni, kagueni magari na hakikisheni sheria za barabarani zinafuatwa! muda mrefu mnajikita kwenye kupokea rushwa na kukaa kwenye vijiwe vya supu na pombe hamsimami barabara kuangalia mwenendo wa magari!!
Kwa mujibu wa watu wanaotoka kuona wagonjwa muda huu Hospitali ya Rufaa Mbeya majeruhi mwingine hatunaye tena idadi ya walokufa yafikia 13 inasikitisha.
Poleni sana majeruhi, tunawaombea mpone haraka, na poleni wafiwa waliopoteza ndugu, jamaa na marafiki.Mungu tunusuru na ajali hizi ambazo zimekuwa zigharimu maisha ya watu kila kukicha!