..Good, tujuze zaidi huenda kuna jamaa zetu humo!!Ni kama dakika tatu hivi zimepita,kuna ajali mbaya sana imetokea maeneo ya kimara-suka.nimeona ni minibus au hiace inayotokea kibamba kuja katikati ya jiji imevaana na lori.
Kwa haraka haraka watu waliokuwa wamelala pale barabarani(kufa) ni zaidi ya watano.
HII NDIO TANZANIA!ujanja ujanja unagharimu maisha ya watu wasio na hatia
Ni kama dakika tatu hivi zimepita,kuna ajali mbaya sana imetokea maeneo ya kimara-suka.nimeona ni minibus au hiace inayotokea kibamba kuja katikati ya jiji imevaana na lori.
Kwa haraka haraka watu waliokuwa wamelala pale barabarani(kufa) ni zaidi ya watano.
HII NDIO TANZANIA!ujanja ujanja unagharimu maisha ya watu wasio na hatia
Too bad!Hiyo inaonyesha uzembe live...nitaiwahi..nitaiwahi ile Scania!...!Nikiwa ndo nakwenda kuanza form1 enzi hizo Baba yangu alipata kunionya kuwa magari ni Simba wa Mjini! Nayaona sasa!Poleni sana wafiwa... na pia kila aliyeguswa moja kwa moja na msiba huu mkubwa uliochukua innocent people, na wajenzi wakuu wa Taifa !
Suca si kuna matuta mengu tu? na asubuhi kuna foleni? hayo mabio ya daladala (asuming yy ndo chanzo kwa sababu madereva wa dala2 hawana akili nzuri) yalitokea wapi?
sasa kama kuna matuta na watu wanachapa mwendo tu, kama kawa, basi TANROADS wabomoe barabara sehemu ambazo magari yanakimbia hovyo wakati sio sehemu safe kukimbia.
mimi nimepigwa na butwaa,halafu nikashindwa kabisa kusimama.nimemwacha wife kalala home
Duh ebwanee siku hizi umeoa tayari? Hongera.
Ilikuwaje pale wakati kuna matuta pale mm nimewahi sema kuwa madereva wengi wa kibongo ni wazembe.
Duh ebwanee siku hizi umeoa tayari? Hongera.
Ilikuwaje pale wakati kuna matuta pale mm nimewahi sema kuwa madereva wengi wa kibongo ni wazembe.
Pole ndugu.Hapa ndipo utaona umuhimu wa adhabu aliyotangaza Rais wetu juu ya madereva wazembe.
Pole ndugu.
Utawala bora (usalama barabani sawia) hautokani na rais kutangaza adhabu, bali kuwepo sheria na mfumo stahili wa kusimamia utekelezaji wa sheria husika; rais ndiye msimamizi mkuu kuhakikisha sheria zinatekelezwa.
Sasa ni bora kufahamu kuwa rais kutangaza adhabu ni kiashiria cha kushindwa kusimamia utekelezaji wa sheria, period!
Tubadilishe mwelekeo wa mjadala. Tunachoshuhudia kama kuparanganyika katika jamii ya Tanzania ni matokeo ya utawala wa hovyo, usiosimami sheria kwa manufaa ya wananchi wake. Wananchi/madereva hawafuati sheria kwa sababu serikali, kutokana na kughubikwa na rushwa na ufisadi, imeshindwa kusimamia utekelezaji washeria. Sasa hili siyo suala la baranbara kuwekwa au kutowekwa matuta. Aidha siyo tatizo la uslama barabarani peke yake; ni tatizo la usalama wa kila mtanzania kila mahali; mahospitalini, mashuleni, majini na reli, masoko ya mazao ya wakulima, bidhaa za madukani, ujenzi wa barabara, mabwawa na majengo makubwa, uvuvi, mikataba ya rasilimali kama madini na gesi na kadhalika. Ki-msingi, kila kitu nchini Tanzania ni couterfeit!
Mjadala wetu ulekezwe namna wananchi wananvyoweza kuishughulikia serikali na hatimaye waweze kuondoa counterfeit leadership, basi! Tunadhurika kwa sababu tunapenda kuelezwa na kusikia ufumbuzi wa kutumia njia za mkato kushughulikia matatiza makubwa. Kwa mtindo huu hatufiki popote. Tuinue macho na kuangalia/kuona mabli. Licha ya kwamba kuweka matuta kwenye highway kama barabara ya Morgoro ni upuuzi, si ufumbuzi bali ni chanzo cha tatizo lingine, kwa mafano foleni. Ni yale yale ya 'ubunifu' wa Lowasa wa ufumbuzi wa tatizo la foleni kwa 'njia tatu'. Je tatizo liiisha? jibu ni hapana ila lilianzisha tatizo jingine la ajali za barabarani zisizotambuliwa na bima kwa sababu ni kinyume cha sheria za barabarani!
Think loudly.
Kwani wewe bado hujaoa?
Maderewa wa daladala ni wazembe sana sana!! ingawaje abiria pia huwa wanachangia kuwashawishi kukiza magari yao lakini kama dereva uliye soma driving hupaswi kusikiliza maneno ya abiria!!