leo majira ya saa 4.00 asbh kumetokea ajali mbaya ya basi la nbs linalotokea tabora kwenda arusha, basi hilo lilipasuka taili la mbele na kugonga mti na kuung'oa na kisha kupinduka, hadi sasa kuna maiti sita zilizowasilishwa mortuari na dereve wa gari hilo pia ni marehemu ila bado maiti yake haijatolewa kwani amebanwa hadi basi hilo likatwe ndiyo atolewe View attachment 53202View attachment 53203View attachment 53204View attachment 53204
Poleni sana wahusika wote. Kama kawaida tutaanza kumsingizia MUNGU kwamba kazi yake haina makosa.
Haya ni yetu wenyewe maana tunawaruhusu TBS kufanya watakalo ikiwa ni pamoja na kuingiza matairi yasiyo na viwango na kila siku ajali nasi tanalalama tuu.
Mipango ya nani.....?polenisana nimipango ya mungu.