Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
hapa duniani tu wapitaji...na kila wakati tukae mkao wa kuondoka ...nashangaa watu wanodhulume wenzao as if wana permanent life permit ya kuishi hapa duniani
unatuogopesha mkuu, mbona umeenda kufukua thread ya 2011?Poleni wandugu
Poleni wandugu
Daah kumbe ya 2011.unatuogopesha mkuu, mbona umeenda kufukua thread ya 2011?