Ajali mbaya sana-traffic wakataa kupima!

Ajali mbaya sana-traffic wakataa kupima!

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Posts
4,776
Reaction score
2,389

  • kls-wmk.php
Ajali mbaya sana imetokea huko Limuru-Kenya.Hakuna majeruhi.
Ajali imetokea kutokana na mwendo kasi wa gari na kubeba mzigo zaidi ya kiwango.
Polisi wamekataa kupima kwa vile
  • gari halina road license
  • gari halina insurance
  • dereva hana leseni
  • gari halina indicator
  • gari halina breki
  • Gari halina honi
Hata polisi wa traffic wanashangaa wamefikafikaje mujini!
 
Traffic police must act accordingly, and charge the driver for reckless driving + offence for driving vehicle with zero road-worthiness!
 
Mkuu kwa Maelezo yako hapa chini..hilo litakuwa sio gari..itakuwa ni mkokoteni..ndo unaweza kutembea barabarani bila vielelezo tajwa hapa chini

  • kls-wmk.php

Ajali mbaya sana imetokea huko Limuru-Kenya.Hakuna majeruhi.
Ajali imetokea kutokana na mwendo kasi wa gari na kubeba mzigo zaidi ya kiwango.
Polisi wamekataa kupima kwa vile

  • gari halina road license
  • gari halina insurance
  • dereva hana leseni
  • gari halina indicator
  • gari halina breki
  • Gari halina honi
Hata polisi wa traffic wanashangaa wamefikafikaje mujini!
 
Kibaki anashangaa kwa nini gari halina brake wala leseni!!!!!
 
Mkuu kwa Maelezo yako hapa chini..hilo litakuwa sio gari..itakuwa ni mkokoteni..ndo unaweza kutembea barabarani bila vielelezo tajwa hapa chini
Mkuu you dont get my cynical drift!!!
Hata hapa bongo magari haya ni mengi sana omba lisikugonge!
 
hii thread ungeipost tarehe moja aprili
 
ungemalizia halina pia engine... Sasa hiyo Ndio gari?
 
Back
Top Bottom