uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 14,683
- 20,460
Kuna ajali mbaya sana imetokea hapa KIA barabara ya Moshi Arusha, tumekuta hapa gari aina ya landover ikiwa imegongwa vibaya
Na watu watano wamefariki hapo hapo.
Maiti na Majeruhi bado wapo hapa.
Kama kuna mwanajamii yoyote anayeweza kutoa taarifa polisi afanye hivyo, sisi tumeshindwa kwani simu tunazopiga polisi hazipokelewi.