Crocozilla
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 469
- 335
Ile dala dala imeniacha ubungo halafu nikapanda ya nyuma yake. Nimeshangaa kuikuta imelala barabarani huku bado inanguruma. Ilikuwa imejaa sana sana na pengine ikawa imeua watu wengi sana.
Hata hueleweki.
cocozilla, punguza mawenge, jipange utusimulie vizuri.Kuna ajali mbaya imetokea Sam Nujoma karibu kabisa na jengo la mawasiliano. Gari moja zimehusika moja kwa hakika ikiwa na gari ya abiria. Najaribu kutafuta habari zaidi na mwanya wa picha. Hope Mungu amelinda uhai. Poleni sana wanandugu
Mnahama mada bila kuzingatia uzito wa jambo lenyewe.Kaka, usimlaumu. Ndio nchi ilipofika. Rejea matokeo ya form four ya mwaka 2012. Hao waliopata zero ndio wachangiaji wa JF.
Kaka, usimlaumu. Ndio nchi ilipofika. Rejea matokeo ya form four ya mwaka 2012. Hao waliopata zero ndio wachangiaji wa JF.
Huwezi jua mtu yuko katika situation gani wakati anatoa taarifa, subirini mpewe habari kamili akitulia mazee
umemaliza form four mwaka jana????Kuna ajali mbaya imetokea Sam Nujoma karibu kabisa na jengo la mawasiliano.Gari moja zimehusika moja kwa hakika ikiwa na gari ya abiria. Najaribu kutafuta habari zaidi na mwanya wa picha. Hope Mungu amelinda uhai. Poleni sana wanandugu
asante kwa taarifa ....ila kwa walio mikoani hawaelewi sam nujoma ni wapi dar, arusha, au nairobi? poleni waathirika
Sam nujoma ni dar mkuu, ni. barabara ya kutokea ubungo kuelekea mwenge
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Basi angekaa kimya mpaka muda atakao tulia ndio atupe habar vizur
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
watu wanaanza kumponda mleta mada bila kujua mazingira ya ajali watu wanapata mishtuko,mara amepata ziro!acheni utoto
Sam nujoma ni dar mkuu, ni. barabara ya kutokea ubungo kuelekea mwenge
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
we nawe vipi!mimi au hao wanaokuja na comment za kuponda?hehehehhee,u mean na mtoa uzi nae ana zero,,,,????