Mola nusuru tu maisha ya viumbe wako kipindi hiki cha kusheherekea xmas na mwaka mpya. Shetani huwa anajiinua sana ili kupima imani zetu pia sisi binadamu tunakosa subira. Imagine unaendesha kwa speed inayotakiwa halafu wa nyuma yako anakupigia honi anataka ukimbize gari. Mimi huwa namwashia taa apite zake maana ana haraka. Sasa madereva kama hawa mtu anaendesha 120-180 mjini akikutana na hatari atasimama vipi? Mwishowe ni mweleka matairi juu.