Ajali mbaya Quality Plaza...

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,338
kuna ajali kubwa hapa, fuso mbili moja limeanguka juu chini, lingine lilochomekea mwenzake limetimuka na bodaboda iloyaingilia imepondwa sanaaaa, pls police nendeni pale mkasaidie njia ipanuke kwani kuna foleni balaa, pia nyuma ya hapo mtava kuna gari la azania lilobeba mpunga limeanguka pia watu wanazoa mpunga askar anawatishia na gobole yan tbc taifa napo kuna ajali yani leo sijui kama nitafika kwangu salama.
 
The vampires are killing people ...May the blood of Jesus overpower them.
 

unaleta habari nzito za ajali huku unaweka maskhara, eti lori "limetimka na bodaboda", hata hueleweki!
 
Magari yanapinduka katikati ya mji kwani mjini wanaendesha speed kama wako nje ya mji.
 

...!!! nina jisikia hamu ya kusema WEKA PICHA ...!!!
 
una elkopta nn? mbona umetaja maeneo mengi kwa wakati mmoja wakati unalalamika kuna folen????????
 
una elkopta nn? mbona umetaja maeneo mengi kwa wakati mmoja wakati unalalamika kuna folen????????

nimetoka tbc taifa, mtava na qulity plaz ni karibu karibu kiongozi na njia moja hiyo.
 

Weka picha
 
Jamani ajari hizi mmmh basi bana,Mungu awape nafuu majeruhi wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…