Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Leo jioni gari aina ya Landcruiser mali ya hospitali ya wilaya ya mangaka mkoani mtwara likiwa linatoka dsm katika kikao cha budget limepasuka taili la mbele na kuanguka eneo la darajani karibu na hospitali ya Ndanda na watu 4 wamekufa hapahapo na dmo bado hali yake siyo mzuri.