Ajali mbaya Mbezi kwa Msuguri!!

Ajali mbaya Mbezi kwa Msuguri!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,369
Reaction score
27,785
Kuna ajali mbaya imetokea hapa Mbezi kwa msuguri ikihusisha Lori LA mchanga na Gari aina ya Toyota Spacio.

Gari. ndogo imeharibiwa vibaya sidhani kama kuna aliyesalimika.

Picha zinatisha sana siwezi kuzianika hapa.
 
hizi ajali mbona zimeliandama sana taifa letu,jamani tunaomba madereva wawe makini ili kupunguza ajali.
 
So sad. Wamegongana uso kwa uso au lori limegonga gari ndogo, au vp?
 
Hawa madereva wa malori ni viburi wawapo barabarani, wanadharau sana magari madogo, wanapiga honi hovyo hovyo.
 
Kuna ajali mbaya imetokea hapa Mbezi kwa msuguri ikihusisha Lori LA mchanga na Gari aina ya Toyota Spacio.

Gari. ndogo imeharibiwa vibaya sidhani kama kuna aliyesalimika.

Picha zinatisha sana siwezi kuzianika hapa.
penyapenya uko tujuze waliokufa na majeruhi wengine tupo kitengo cha takwim waliokufa kwa ajari kwa mwaka huu
 
Tatizo ni barabara. Hapo kwenye makutano ya Barabara ya Morogoro na ya Msuguri panahitaji tuta, ili kupunguza mwendo kasi wa magari yatokayo Kimara. Mara kwa mara inahitaji umakini sana kwa dereva anapotoka barabara ya Msuguri wakati wa kuingia Morogoro road kuelekea Kimara/mjini. TANROADS na mamlaka husika watusaidie kwenye hili Suala kabla maisha ya watanzania wengi hayajadhurika.
 
Hizi ajali katika barabara zetu sasa zinashindana na malaria kutumaliza!!!!! Poleni wahusika wa ajali hii
 
Kuna ajali mbaya imetokea hapa Mbezi kwa msuguri ikihusisha Lori LA mchanga na Gari aina ya Toyota Spacio.

Gari. ndogo imeharibiwa vibaya sidhani kama kuna aliyesalimika.

Picha zinatisha sana siwezi kuzianika hapa.

Za juzi mkoani Mara ziliwekwa Na hii je?
 
Hapo kwa msuguri gari zinazotokea Kimara Ndo huwa zinasababisha ajari SNA Na Mara kwa Mara wanafunzi Wa St Anne Ndo wahanga Wa kugongwa Na kufa Papo hapo, road design ya toka temboni pale pana crossing alafu hakuna ishara wala michoro ya sakafuni mwa Barbara pia kwa msuguri Ni T-junction crossing iliyo kwenye kona, tan roads wapanue Barbara pale Na waondoe pori/chaka lililopo kulia ukitokea Kimara kuongeza road visibility
 
Weka hata picha za magari, kwani nayo yanatisha sana.

Tanzania sasa ajali zinashindana na ufisadi
 
Back
Top Bottom