Ajali mbaya kimara mwisho

Ajali mbaya kimara mwisho

Jamanu ajali mbaya imetokea mda si mrefu..haya magari ya makontena lipo nyanganyanga na likontena lipo down.jamani hata macontena ni hatari jamani..
Ulivyoandika utafikiri kila mtu yuko Kimara. Au kama hii habari inawahusu watu wa Kimara peke yao utuambie.
 
Naweka inakataa.naendelea kujaribu.watu wamekuwa wengi sana sana ktk tukio..mie nimepita ila I think kuna vifo maana kichwa cha hilo gari kimepondeka balaa
Ni kweli dereva kafa,könda kapona,wako Tumbi
 
Ktk ulimwengu tusioweza kuuona kwa macho yetu ya kawaida,hapo kimara mwisho kuna jeshi kubwa la majini kutoka kuzimu! Pia huku kahama napoishi kuna eneo linaitwa 'mwembe maua' haipiti miezi 3 au 5 bila ajali kubwa au mauti,wakuu tumrudieni MUUMBA wetu jamani.
 
Japokua ni habari ya masikitiko lakini mkuu umewasilisha ki hisia mpaka imekosa taarifa za muhimu na labda ungetufahamisha na namba za gari kama ingewezekana huwezi jua unaweza mpa taarifa mtu muhimu wa kuhusika kwa namna fulani pia maneno kama nyanganyanga yameanza kuwa ya muda matumizi yake
 
Jamanu ajali mbaya imetokea mda si mrefu..haya magari ya makontena lipo nyanganyanga na likontena lipo down.jamani hata macontena ni hatari jamani..

Ajali imetokea mchana kabisa..nilipita saa kumi na ajali ilikuwa imeshatokea..
 
Back
Top Bottom