mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
Jamanu ajali mbaya imetokea mda si mrefu..haya magari ya makontena lipo nyanganyanga na likontena lipo down.jamani hata macontena ni hatari jamani..
mzizi mkavu anahusika amekuja kuchukua damu......ametumwa na mkuu wake kule baharini....chonde chonde mkuu mzizi mkavu utatumaliza