Ba Martha
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 349
- 107
Heshima mbele wakuu..
Ajali mbaya ya gari imetokea eneo la kijenge juu kata ya kimandolu muda huu..Inasadikiwa gari aina ya subaru ilikuwa spidi na kumgonga mtu mmoja (mwanaume wa makamo) aliekuwa miongoni mwa watu wengi waliokuwa wanafurahia ushindi wa CDM. Haijajulikana kama kafariki au la kwani kakimbizwa hospitali na wasamaria wema kwani kapoteza fahamu. Tutawajuza kadri habari zitakavyopatikana.
Chanzo: mimi mwenyewe niko eneo la tukio.