Mapengo 17
R I P
- Mar 28, 2014
- 1,228
- 618
Ajali mbaya imetokea usiku huu mbele ya eneo la King'ori mkoani Arusha (Haijafahamika mara moja kuwa kuna majeruhi wa ngapi/vifo).
Inadaiwa kuwa dereva wa gari alikuwa na mpenzi wake na walikuwa wanaendelea na mambo yao hadi dereva akajisahau na kugonga jiwe lililokuwa pembezoni mwa barabara na gari kupinduka kama linavyoonekana kwenye picha.
Kwa taarifa zaidi na maelezo ya kina tutayapata baadae au asubuhi.

Waliopata ajali ni mtu na mke wake wala siyo wapenzi tafadhali badilisha maelezo yako na wote wamepoteza maisha dereva na mke wake na bado ni vijana ambao hawajafikisha miaka 33!!
Mume anaitwa (Emma) Massawe Nkya wa Machame Lyamungo kati alisoma shule ya o level Lyamungo Secondary Wilaya ya Hai Kilimanjaro.