issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
Kuna ajali mbaya imetokea Ubungo Maji, ikihusisha daladala na Canter.
Chanzo: Mimi Mwenyewe
Chanzo: Mimi Mwenyewe
kuna maafa yoyote
Kuna ajari mbaya imetokea Ubungo maji, Ikihusisha daladala na Canter.
Chanzo: Mimi Mwenyewe
Mi nilidhani wewe ndo chanzo cha ajali..... ila baadaye ndo nikaelewaKuna ajari mbaya imetokea Ubungo maji, Ikihusisha daladala na Canter.
Chanzo: Mimi Mwenyewe
Ni vizuri ukaeleza mazingira ya hiyo ajali kwani Ubungo maji magari hayapishani uso kwa uso kuna ukuta sasa magari ya upande mmoja yamefanyaje? Yamepigana pasi au kuna gari ilikuwa inaingia Ubungo Maji ndio ikagongana na nyingine. Leta habari kamili.
Tiba
yote yalikuwa yanaelekea uelekeo mmoja,katika barabara ya kimara-posta,daladala ilikuwa kwa mbele na canter kwa nyuma,