Magu
Senior Member
- Jun 13, 2011
- 156
- 56
Kuna ajali mbaya iliyohusisha malori mawili moja likiwa tanker ya mafuta na lori la mizigo.
Katika ajali hii njia imejifunga mana lori la mizigo limekata barabara kabisa, kuna magari zaidi ya mia na hamsini yako katika foleni, ni vurugu tu ambapo mabasi yanapita porini. Nashukuru mimi nimepita porini naendelea na safari ya kwenda Dar.
Sijapata kama kuna mtu kapoteza maisha lakini cabin za magari yote zinashawishi kufikiria hivyo.
Nasikitika sijapata picha nzuri sana ya magari yaliyohusika katika ajari.