Ajali mbaya Barabara ya Kilimahewa Mwanza

Ajali mbaya Barabara ya Kilimahewa Mwanza

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,997
Habari zenu,

Leo majira ya saa 3 asubuhi katika barabara mpya la lami ya Kilimahewa gari ndogo aina ya Saloon ilimgonga mtoto mwenye umri wa kati ya miaka 9-12 na kufariki papo hapo.

Barabara hili limekuwa likigharimu maisha ya watu hasa watoto, cha ajabu hakuna aina yeyote ya kivuko ukizingatia kuna shule jirani na hii barabara.

Tunaomba wahusika ama watu walio karibu na wahusika wawafikishie taarifa hizi. Walau waweze vivuko vya "Zebra Crossing & road bumps" make barabara hii ipo kwenye mteremko. Sio mpaka watu waandamane ndipo vivuko viwekwe..

Asanteni...
 
so sad...rip motto...ngoja nicheki na Kiwia ashughulikie hii ishu ya hii barabara
 
so sad...rip motto...ngoja nicheki na Kiwia ashughulikie hii ishu ya hii barabara

Shukran mkuu, make haipiti wiki bila ajali kutokea! Walau waweke vivuko aiseee.......

Sijui wanasubiri ndugu zao wapate ajali ndiposa waweke matuta na vivuko????
 
Back
Top Bottom