Ajali kutoka Tanga

Ajali kutoka Tanga

Konakali

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
1,533
Reaction score
266
Wana JF na Watanzania wote nawapeni pole sana kwa kilio hiki tena. Na wenye taarifa kamili kuhusu ajali hiyo iliyowaua watu zaidi ya 20 papo hapo huko Tanga watupashe kwa undani.
 
Back
Top Bottom