Ajali kubwa daraja la mto Nduruma - Arusha

Hakika tufike mahali, kama Taifa, tukomeshe ajali hizi. Trafiki wanachokagua ni kadi za gari na leseni za udereva. Vehicle Inspectors hawakagui breki wala uimara wa gari. Poleni sana wana Arusha na wote walioumia.

Kama ni hivyo basi tukubali tu kuwa magari yetu mengi ni mikweche na kwa hiyo ile sheria ya uchakavu miaka8 ipite???! Lakini daaaaah, miaka nane ni almost gari la mwaka 2007, ambapo kimsingi bei yake imetakata.
Namalizia poleni wahanga wa ajali ya darajani Arusha.
 
Hivi haka kadaraja kana nini maana kila mwaka ni lazima katafune watu...
 
Watu wanapitia old moshi road ukifika usa kata kushoto pale crdb bank kama uko njiani kuja arusha usipite maana hutatoboa ar. Huu ni ushauri kwa wanaoelekea ar..
 
Poleni sana wote, Ajali kama hizi utokea kwa wingi katika dunia ya tatu meant poor countries.
 
Hakika tufike mahali, kama Taifa, tukomeshe ajali hizi. Trafiki wanachokagua ni kadi za gari na leseni za udereva. Vehicle Inspectors hawakagui breki wala uimara wa gari. Poleni sana wana Arusha na wote walioumia.
Nitafurahi pale itakapoamriwa magari yote ya abiria na binafsi yawe yanakaguliwa mara 2 kwa mwezi alafu wamilki wanapewa ushauri vitu vya kurekebisha, traffic polisi wabaki na kazi ya kuangalia usalama kwenye matumizi ya barabara tu ya ume-overtake sehemu isiyohusika unapigwa bao na sheria zinginezo, hizi sijui akikukamata anakuangalia kwanza usoni kupima confidence yako kisha anaomba leseni ukitoa anakuja na kadi mpaka akukamate ulipe fine ambayo wanaichukulia kama sehemu ya vyanzo vya mapato wakati fine ya mwisho kabisa (traffic wetu ukiondoa asubuhi na jioni mida ya foleni sehemu mbalimbali mchana ni kukaa kusubiri kusimamisha magari na kuuliza fire extinguisher na kadi ya gari tu
 
Hahaaaa kwa TZ, ni wamiliki wa magari wachache sana watapokea ushauri na kuufanyia kazi, wengine hata huo ukaguzi watakwepa pamoja na kuwa ni sehemu ya kuongeza usalama wao, chukua mfano mdogo mtu analazimishwa kufunga mkanda wa usalama, akishaachana na traffic officer anaachana nao, ukimwuliza sababu anakwambia nakosa freedom.
 
Back
Top Bottom