Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,649
Kuna ajali kama zaidi ya tatu hapa Kongowe.
Barabara zimefunga kabisa.
Ajali ya kwanza semitrela imelalia tax watu zaidi ya watatu inasemekana wamekufa
Ajali ya pili semitrela imelalia gari tatu, foleni ya ajabu. Unbelievable! vibaka nao wamepata uwanja wa kujidai.
kongowe maeneo gani? hapo darajani hapo barabara inapotengenezwa?. pole yao bahati mbaya huko ccm haija wajengea hospital hadi temeke. nawaonea huruma na foleni ya pale dar live.
Polisi nao wamezidiwa, kundi la wahuni badala ya kusaidia wahanga wanawanyang'anya mali zao.
Ajali imetokea tokea saa mbili hadi sasa watu hawajanasuliwa
duhuuuuuuuuu what is going on there is the same semitrela ndo lililolalia gari or what na sababu ni nini hasa
wahanu ndo wamonanga neema on this time kongowe sehemu gani
Yaani ni chaos kwenda mbele, siye tumeamua kugeuka