Ajali Kimara

Ajali Kimara

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Ajali imetokea maeneo ya Kimara roli laanguka katikati ya barabara lasababisha foleni kubwa na msongamano:

source: Cloudsfm Radio
 
Unaambiwa source Clouds Fm, wewe wataka picha. Apigie wapi sasa kwenye radio speakers ama?
 
  • Thanks
Reactions: y-n
mm mwenye nimeöna hiyo ajali,hakuna aliyepoteza maisha.ni eneo lilelie kwenye kona
 
Wadau ajali hii imetokea pale pale kwenye kona za barabara mpya ambapo ni wiki iliyopita tu lilianguka lori pale.Hii ni ajali ya pili ndani ya kipindi kisichozidi siku kumi.Nakumbuka kuna uzi uliandikwa humu kulalamikia kona zile kwani jiografia ya pale haina sababu za kuweka kona hivyo hatuelewi ni kwa nini STRABAG wameziweka!Serikali iliangalie hili kabla madhara zaidi hayajatokea.
 
wapuuz sana m nipo kimara hapa imepta sa1 na zaid hakuna cha trafic wala breakdown, nazan folen imefika ubungo sasa
very hopeless people under poor country !
STRABAG ni janga lingine la taifa, watu washakula hela zao wamepumzika beach huko c tunatimuliwa vumbi hapa barabara haiishi
 
em' lete picha kwanza nihakikishe..
 
Sometimes I wonder kama walio wapa strabag kazi ni watu wazima na akili zao au nima prefect wa bunge primary school . Maana kuna mambo mengi ni utoto tu. vituo viko kirani mno makona yasio ya laa . Barbar ni dual carriage wsy lkn magari mawili hayatoshi vzr. sijui mkuu wa shule yao hawa watoto yupo
 
Mi naona we ndio huna akili.., hivi hujui kwamba kwenye projects kuna makundi manne makuu yanayohusika?
1.) Msanifu wa mradi ,(ARCHITECT) Kama mimi hapa.

- huyu ndiye ana design kila kitu kuhusu barabara, vituo nk.

2.) Mkadiria majenzi, (Quantity surveyor) kama John Leo

- Huyo ndie anaandaa makadirio ya gharama za ujenzi

3.) Mhandisi wa nondo, (Structural engineer) kama Jacob swere

- yeye ndie anaamua kuhusu concrete ratios na viwango vya nondo

4.) wajenzi (civil engineers) kama hao strabag unao walaumu

- wao kazi yao ni kujenga amabacho kimeshadizainiwa.., hata kama wamedizaini utumbo.., yeye atajenga utumbo hivyo hivyo..!

UMENIUDHI KWELI..!!!
 
Then zile kona zinasaidia sana kupunguza speed ni moja ya engineering technique ww unadhani pangenyooshwa hadi ubungo pangetokea nn? Au ya ubungo hadi posta ingenyooka ingekuwa vp, ajali kwenye kona ni dereva kuwa na speed, so mi sioni Kama wamekosea kuweka zile kona kona, strabag wako poa sana.....
 
lete picha basi..

Mleta habari kasima amepata news toka redioni sasa we unamdai alete picha, nadhani hukufikiri kabla ya kumjibu, ungeulia kwanza usingeandika hivyo. Kwa vile umeshaambiwa sehemu ya tukio una nafasi ya kwenda huko mwenyewe kushuhudia na utuletee picha unazoona ni muhimu zaidi ya ujume tulioletewa.
 
na wewe lete picha hapa.., sio una bwabwaja tu.., nataka picha..
 
Then zile kona zinasaidia sana kupunguza speed ni moja ya engineering technique ww unadhani pangenyooshwa hadi ubungo pangetokea nn? Au ya ubungo hadi posta ingenyooka ingekuwa vp, ajali kwenye kona ni dereva kuwa na speed, so mi sioni Kama wamekosea kuweka zile kona kona, strabag wako poa sana.....

Barabara zote Dar. Nbo au Kla zimenyooka iweje hii tu iwe na makona yasiyo ya lazima ? Madhara ya makona yasio ya lazima sasa umeyaona. ndani ya wiki moja sehemu ile ile ajali mbili mbaya zimetokea. Nilitegemea archtect aangalie mazingira alokua nayo kv madereva wetu. wingi wa magari ndio atoe design. Zile kona pale Kimara mwisho hazisevu purpose yoyote zaidi ya kutuletea foleni zisizo na ulazima pamoja na loss of life. Ama ni hivi vyuo vipya? Jana nimeona kuna International university pale Kimara mwisho.
 
Mi naona we ndio huna akili.., hivi hujui kwamba kwenye projects kuna makundi manne makuu yanayohusika?
1.) Msanifu wa mradi ,(ARCHITECT) Kama mimi hapa.

- huyu ndiye ana design kila kitu kuhusu barabara, vituo nk.

2.) Mkadiria majenzi, (Quantity surveyor) kama John Leo

- Huyo ndie anaandaa makadirio ya gharama za ujenzi

3.) Mhandisi wa nondo, (Structural engineer) kama Jacob swere

- yeye ndie anaamua kuhusu concrete ratios na viwango vya nondo

4.) wajenzi (civil engineers) kama hao strabag unao walaumu

- wao kazi yao ni kujenga amabacho kimeshadizainiwa.., hata kama wamedizaini utumbo.., yeye atajenga utumbo hivyo hivyo..!

UMENIUDHI KWELI..!!!

Barabarani nako siku hizi kuna ma-ARCHTECHTS wewe ndio unaanza kuudhi sasa
 
Back
Top Bottom