Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 462
dah asante mkuu maana jamaa yangu pia amefariki katika ajali hiyo...nimeumia sana maana ni mtu wa karibu sana na mimi anyway alietoa ndiye aliyetwaa na jina lake lihimidiwe...na hiyo lami we acha tu watatumaliza kwa kweli...Wanasema limeua zaidi ya watu 19 na majeruhi kibao lilikuwa likitokea dar kwendaa Bukoba..ajali imetokea maeneo ya Bukombe inasemekana ilikuwa ni ushindani wa kuovatake ndo ikasababisha yote hayo.Naona mpaka kuelekea mwisho wa mwaka tutegemee mengi sana ya namna hii.Mungu azilaze roho za marehemu wasio na hati mahali pema peponi
Kwanza pole sana kwa msiba wa jamaa yako wa karibu..afu nimepita pale sunday tu ile barabara inafanyiwa ukarabati mkubwa toka kahama mpaka rwanda so ile lami ya zaman inabanduliwa na weka nyingine kiwango zaidi.wanasema Kagema katoa fungu kujazia lile la msaada wa benki ya africa.dah asante mkuu maana jamaa yangu pia amefariki katika ajali hiyo...nimeumia sana maana ni mtu wa karibu sana na mimi anyway alietoa ndiye aliyetwaa na jina lake lihimidiwe...na hiyo lami we acha tu watatumaliza kwa kweli...
Nani atawamaliza, Mungu au?...nimeumia sana maana ni mtu wa karibu sana na mimi anyway alietoa ndiye aliyetwaa na jina lake lihimidiwe...na hiyo lami we acha tu watatumaliza kwa kweli...
Nani atawamaliza, Mungu au?
mkuu mie ndo home huko kila nikikamata njia either mza au kahama...si mmoja tu nadhani jamaa zangu waloumia pia watakuwepo wengi tu maana kila siku wanasafiri...tunashukru kwa lami na pia je madereva na matajiri itakuwaje ajali maana zinazidi ongezeka...nilipita huko mwaka jana mwezi wa saba...mza imekuwa waja leo warudi kesho...Kwanza pole sana kwa msiba wa jamaa yako wa karibu..afu nimepita pale sunday tu ile barabara inafanyiwa ukarabati mkubwa toka kahama mpaka rwanda so ile lami ya zaman inabanduliwa na weka nyingine kiwango zaidi.wanasema Kagema katoa fungu kujazia lile la msaada wa benki ya africa.
Mungu ametoa Mungu ametwaa, ulivyotuambia. Sasa madereva kosa lao nini?ndugu yangu acha madereva na ushindani watatumaliza sana ndo ilikuwa maana yangu...